Madhehebu : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
nyongeza |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Madhehebu''' (kutoka [[Kar.]] مذهب ''madhhab'') ni mafundisho, [[maadili]] na matendo ya [[ibada]] yaliyo ya msingi katika [[dini]] fulani. Hutumiwa pia kutaja kundi ndani ya [[dini]] fulani.
Kiasili neno la Kiarabu ''madhhab'' limetaja makundi ndani ya mafundisho ya masharti ya Uislamu yaliyotofautiana juu ya vipengele fulani vya [[shari'a]]. Likaendelea kutumiwa kutaja pia makundi makubwa ndani ya Ukristo na baadaye katika dini nyigine.
==Madhehebu ya Uislamu==
[[Uislamu]] hugawiwa kwa mikono miwili mikubwa ambayo ni [[Wasunni]] na [[Washia
Washia ndani yao wamagawanyika katika kundi nyingi zaidi.
Madhehebu manne yanayokubaliwa kati ya Wasunni ni Washafii, Wahanbali, Wamaliki na Wahanefi yaliyopokea majina kutokana na walimu wakuu wa kihistoria [[Muhammad ibn ldris ash-Shafi'i]], [[Ahmad ibn Hanbal]], [[Malik ibn Anas]] na [[Abu Hanifa]].▼
▲Kati ya Wasunni kuna madhhebu au madhhab manne yanayokubaliwa rasmi. Hali halisi makundi mengine ya Kisunni kama [[Wahabiyya]] yanaweza kuitwa dhehebi pia. Madhehebu manne yanayokubaliwa kati ya Wasunni ni Washafii, Wahanbali, Wamaliki na Wahanefi yaliyopokea majina kutokana na walimu wakuu wa kihistoria [[Muhammad ibn ldris ash-Shafi'i]], [[Ahmad ibn Hanbal]], [[Malik ibn Anas]] na [[Abu Hanifa]].
==Madhehebu katika Ukristo==
Line 16 ⟶ 17:
Baadhi ya Wakristo wanaona ma[[farakano]] hayo kuwa mabaya sana, wakizingatia ombi la [[Yesu]] kwamba wafuasi wake wawe na [[umoja]] ili ulimwengu upate kumuamini. Kwa sababu hiyo wanashughulikia [[ekumeni]] ili kurudisha umoja kamili kati yao.
[[da:Kirke (trosretning)]]
[[en:Religious denomination]]
[[eo:Konfesio]]
[[lt:Bažnyčia]]
[[hu:Egyház]]
[[ja:宗教団体]]
[[nl:Kerkgenootschap]]
[[ru:Церковь (организация)]]
[[sco:Kirk]]
[[sl:Denominacija (religija)]]
[[Category:Dini]]
|