Tufani : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: te:తుఫాను (సైక్లోన్) |
Xqbot (majadiliano | michango) d roboti Nyongeza: gu:ચક્રવાત; cosmetic changes |
||
Mstari 1:
[[
[[
Tufani ni dhoruba yenye mwendo wa kuzunguka. Inasababishwa na eneo la shindikizo duni la hewa ambako upepo imeanza kuzunguka ndani yake.
Mzunguko huu hufuata mwendo wa saa katika maeneo kusini ya ikweta na huenda kinyume cha mwendo wa saa katika maeneo kaskazini ya ikweta.
== Chamchela na Kimbunga ==
Tufani ikitokea kwenye nchi kavu huitwa [[chamchela]].
Mstari 14:
* katika eneo la [[Bahari Hindi]] na penginepo jina la saikloni (en:cyclone) limetumiwa mara nyingi
== Tufani katika anga ya nje ==
Tufani zimetazamiwa pia katika [[falaki]] kwenye sayari za [[mfumo wa jua]] letu kama [[Mshtarii]] na [[Meriki]]. Hasa doa nyekundu kubwa lililoonekana kwenye Mshtarii tangu miaka 178 limetambuliwa kuwa tufani.
{{mbegu-sayansi}}
[[
[[
[[af:Sikloon]]
Mstari 35:
[[fi:Sykloni]]
[[fr:Cyclone]]
[[gu:ચક્રવાત]]
[[he:ציקלון]]
[[hu:Ciklon]]
|