Madhehebu : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Madhehebu''' (kutoka [[Kar.]] مذهب ''madhhab'') ni mafundisho, [[maadili]] na matendo ya [[ibada]] yaliyo ya msingi katika [[dini]] fulani. Hutumiwa pia kutaja kundi ndani ya [[dini]] fulani.
Kiasili neno la Kiarabu ''madhhab'' limetaja makundi ndani ya mafundisho ya masharti ya Uislamu yaliyotofautiana juu ya vipengele fulani vya [[shari'a]]. Likaendelea kutumiwa kutaja pia makundi makubwa ndani ya Ukristo na baadaye katika dini
==Madhehebu ya Uislamu==
[[Uislamu]] hugawiwa kwa mikono miwili mikubwa ambayo ni [[Wasunni]] na [[Washia]].
Washia ndani yao
Kati ya Wasunni kuna
==Madhehebu katika Ukristo==
|