Madhehebu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
jamii
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Worldreligion.png|thumb|400px|Dini na madhehebu yake leo ulimwenguni]]
'''Madhehebu''' (kutoka [[Kar.]] مذهب ''madhhab'') ni mafundisho, [[maadili]] na matendo ya [[ibada]] yaliyo ya msingi katika [[dini]] fulani. Hutumiwa pia kutaja kundi ndani ya [[dini]] fulani.
 
Hutumiwa pia kutaja makundi ndani ya [[dini]] fulani ambayo yanatofautiana bila ya kuvunja umoja wa msingi.
 
[[Historia]] inashuhudia hata leo kwamba madhehebu mbalimbali ya dini ileile yanaweza kushindana hata kupigana vita.
 
==Asili ya neno==
 
Kiasili neno la Kiarabu ''madhhab'' limetaja makundi ndani ya mafundisho ya masharti ya Uislamu yaliyotofautiana juu ya vipengele fulani vya [[shari'a]]. Likaendelea kutumiwa kutaja pia makundi makubwa ndani ya Ukristo na baadaye katika dini nyingine.
 
==Madhehebu yakatika UislamuUbanyani==
Katika [[Ubanyani]], tofauti ya madhehebu inategemea [[mungu]] yupi anaheshimiwa zaidi kati ya mingi inayosadikiwa na waumini wa dini hiyo. Ndivyo yanavyotajwa [[Shaivism]], [[Shaktism]], [[Vaishnavism]], [[Smartism]] na [[Halumatha]].
[[Uislamu]] hugawiwa kwa mikono miwili mikubwa ambayo ni [[Wasunni]] na [[Washia]].
 
==Madhehebu katika Uyahudi==
Washia ndani yao wamegawanyika katika makundi mengi zaidi.
Wakati alipoishi [[Yesu Kristo]], dini ya [[Uyahudi]] ilikuwa na madhehebu yaliyoshindana sana, hasa [[Masadukayo]], [[Mafarisayo]] na [[Waeseni]].
 
Baada ya mwaka [[70]], [[Yerusalemu]] na [[hekalu]] lake vilipobomolewa, walibaki Mafarisayo tu, lakini leo Wayahudi wanatofautiana tena hasa kati ya walioshikilia [[imani]] sahihi kadiri ya [[mapokeo]] na wale wanaotaka kujilinganisha zaidi na hali ya [[ulimwengu]] wa kisasa.
Kati ya Wasunni kuna madhehebu au madhhab manne yanayokubaliwa rasmi. Hali halisi makundi mengine ya Kisunni kama [[Wahabiyya]] yanaweza kuitwa madhehebu pia. Madhehebu manne yanayokubaliwa kati ya Wasunni ni [[Washafii]], [[Wahanbali]], [[Wamaliki]] na [[Wahanefi]] yaliyopokea majina kutokana na walimu wakuu wa kihistoria [[Muhammad ibn ldris ash-Shafi'i]], [[Ahmad ibn Hanbal]], [[Malik ibn Anas]] na [[Abu Hanifa]].
 
==Madhehebu katika Ukristo==
Line 17 ⟶ 25:
Baadhi ya Wakristo wanaona ma[[farakano]] hayo kuwa mabaya sana, wakizingatia ombi la [[Yesu]] kwamba wafuasi wake wawe na [[umoja]] ili ulimwengu upate kumuamini. Kwa sababu hiyo wanashughulikia [[ekumeni]] ili kurudisha umoja kamili kati yao.
 
==Madhehebu katika Uislamu==
[[Uislamu]] hugawiwa kwakatika mikonomikondo miwili mikubwa ambayo ni [[Wasunni]] na [[Washia]].
 
Washia ndani yao wamegawanyika katika makundi mengi zaidi.
 
Kati ya Wasunni kuna madhehebu au madhhab manne yanayokubaliwa rasmi. Hali halisi makundi mengine ya Kisunni kama [[Wahabiyya]] yanaweza kuitwa madhehebu pia. Madhehebu manne yanayokubaliwa kati ya Wasunni ni [[Washafii]], [[Wahanbali]], [[Wamaliki]] na [[Wahanefi]] yaliyopokea majina kutokana na walimu wakuu wa kihistoria [[Muhammad ibn ldris ash-Shafi'i]], [[Ahmad ibn Hanbal]], [[Malik ibn Anas]] na [[Abu Hanifa]].
 
[[Jamii:Dini]]
[[Jamii:Ubanyani]]
[[Jamii:Uyahudi]]
[[Jamii:Ukristo]]
[[Jamii:Uislamu]]
 
[[da:Kirke (trosretning)]]
[[de:Denomination (Religion)]]
[[en:Religious denomination]]
[[eo:Konfesio]]
[[fr:Dénomination religieuse]]
[[it:Confessione religiosa]]
[[lt:Bažnyčia]]
[[hu:Egyház]]
[[hy:Կրոնադավանություն]][[ja:宗教団体]]
[[nl:Kerkgenootschap]]
[[pl:Wyznanie]]
[[ru:Церковь (организация)]]
[[sco:Kirk]]
[[sl:Denominacija (religija)]]
[[sr:Религијска деноминација]]
[[tr:Mezhep]]
[[zh:宗派]]