Mtaguso wa tatu wa Laterano : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with ''''Mtaguso wa tatu wa Laterano''' uliitishwa na Papa Aleksanda III ufanyike huko Roma mwaka 1179, kutokana na Amani ya Venezia kati ya Kaisari [[Federiko I wa...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 10:28, 27 Februari 2010

Mtaguso wa tatu wa Laterano uliitishwa na Papa Aleksanda III ufanyike huko Roma mwaka 1179, kutokana na Amani ya Venezia kati ya Kaisari Federiko I wa Ujerumani na Lega Lombarda ya Italia kaskazini.

Unahesabiwa na Kanisa Katoliki kama mtaguso mkuu wa 11.

Ulihudhuriwa na viongozi wa Kanisa 300 na kufanyika katika vikao vitatu, tarehe 5 Machi, 7 Machi na 19 Machi 1179.

Ulimalizika kwa kutoa kanuni 27 na kutangua zile zilizotolewa na antipapa Paskali III.

Viungo vya nje