Content deleted Content added
NevilleT--~~~~
No edit summary
Mstari 6:
{{Statustop}}
 
Jina langu ni Neville Tirimba na mimi ni mkaazi wa Ngong Hills, Mkoa wa Bonde la Ufa, Kenya. Nina umri wa miaka ishirini na miwili namiMimi ni mwanafunzi wa somo la sheria katika Chuo Kikuu Cha Kikatoliki Cha Afrika ya Mashariki (Catholic University of Eastern Afrika). Kijiji cha Ngong Hills kinapatikana takriban kilomita arubaine hivi toka mji mkuu wa Nairobi.
 
Sijaoa, sina watoto lakini natumai nitabarikiwa wakati ufaao utakapotimia. Ninaishi pamoja na wazazi wangu na kaka zangu.