Tofauti kati ya marekesbisho "1856"

23 bytes added ,  miaka 11 iliyopita
d
roboti Nyongeza: stq:1856; cosmetic changes
d (roboti Nyongeza: qu:1856)
d (roboti Nyongeza: stq:1856; cosmetic changes)
{{year nav|1856}}
== Matukio ==
* [[9 Juni]] - [[Wamormoni]] 500 wanatoka mji wa [[Iowa City]] katika jimbo la [[Iowa]] na kuelekea magharibi kwenda mji wa [[Salt Lake City]] katika jimbo la [[Utah]] wakibeba mali zao zote kwenye mikokoteni.
 
== Waliozaliwa ==
* [[15 Juni]] – [[Edward Channing]] (mwanahistoria wa [[Marekani]] na mshindi wa [[Tuzo ya Pulitzer]], mwaka wa [[1926]])
* [[10 Julai]] - [[Nikola Tesla]], mwanafizikia kutoka [[Austria-Hungaria]]
* [[26 Julai]] - [[George Bernard Shaw]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fasihi]], mwaka wa [[1925]])
* [[27 Septemba]] - [[Karl Peters]] (alianzisha koloni ya [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]])
* [[18 Desemba]] - [[Joseph John Thomson]], mwanafizikia kutoka [[Uingereza]] na mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] mwaka wa [[1906]]
* [[22 Desemba]] - [[Frank Kellogg]] (mwanasiasa [[Marekani|Mmarekani]] na mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Amani]], mwaka wa [[1929]])
* [[28 Desemba]] - [[Woodrow Wilson]] (Rais wa [[Marekani]], na mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Amani]] mwaka wa [[1919]])
 
== Waliofariki ==
* [[3 Mei]] - [[Adolphe Adam]] (mtungaji wa muziki [[Ufaransa|Mfaransa]])
* [[29 Julai]] - [[Robert Schumann]], mtunzi wa muziki kutoka [[Ujerumani]]
 
[[Jamii:Karne ya 19]]
[[sq:1856]]
[[sr:1856]]
[[stq:1856]]
[[su:1856]]
[[sv:1856]]
44,027

edits