Karatasi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: fy:Papier, pa:ਕਾਗਜ਼
d roboti Nyongeza: bo:ཤོག་བུ།; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Paper 450x450.jpg|thumb|right|Laha ya karatasi]]
[[ImagePicha:Zellstoff 200 fach Polfilter.jpg|thumb|right|Konge za ubao jinsi zinavyoonekana kwa [[hadubini]] ni chanzo cha karatasi]]
[[ImagePicha:Jehovaszeugen-bethelselters-rota1991.jpg|thumb|right|Vikuto vya karatasi vyatumiwa kwenye machine kubwa za kuchapa]]
 
'''Karatasi''' (kutoka [[Kigiriki]] Χαρτί ''kharti'' kupitia lugha ya [[Kiarabu]] ''' قرطاص''' ''qartas'') ni laha bapa na nyembamba ya konge za mimea zilizokandamizwa na kushikana. Watu huandika kwenye karatasi, [[vitabu]] na [[magazeti]] hufanywa kwa karatasi na vipande vikubwa vya karatasi hutumiwa kwa kufunga vitu ndani yake. Karatasi hunywa kiowevu hivyo hutumiwa pia kwa shughuli za kusafisha.
Mstari 11:
Watu wa kwanza wa kutengeneza karatasi walikuwa Wa[[china]].
 
== Karatasi ya wadudu ==
Aina ya karatasi asilia hutengenezwa na [[nyigu]] na wadudu wengine kwa kujenga mzinga wao. Zinatafuta ubao ulioanza kuoza na kuitafuna halafu kuijenga kwa kuchanganya na mate. Inakauka kuwa kuta za mzinga na [[sega]].
 
== Kutengeneza karatasi ==
Ubao husagwa halafu kuchanganywa na maji kuwa aina ya uji. Karatasi ya kuandikia huongezwa madawa ya kuondoa rangi yote ili karatasi inatokea nyeupenyeupe. Uji inatandikwa na kusukumwa kuwa laha bapa inayofaa kwa ukurasa. Baadaye kukatwa vipande-vipande jinsi vinavyotakiwa. Karatasi kwa matumizi kwenye mashine kubwa za kuchapa hutengenezwa mfululizo kwa umbo la kanda ndefu linaloviringishwa kuwa vikuto vikubwa. Mashine za kutengeneza karatasi hukausha uji la konge njiani kwa kuipasha joto.
 
Mstari 21:
Karatasi za kusafishia kwa mfano [[karatasi ya choo]] inatakiwa kuwa laini sana.
 
== Matumizi ya karatasi ==
Karatasi hutumiwa kwa madhumini mengi:
* Karatasi ya kuandikia hutumiwa kwa madaftari na laha zinazouzwa kwa rimu
* Karatasi ya kuchapisha vitabu na magazeti hutengenezwa kwa vikuto
* Karatasi ya kusafishia hutengenezwa pia kwa vikuto
* Karatasi kwa [[pesa]] inatakiwa kudumu muda mrefu inaungwa pia na nyuzi za metali zinazotakiwa kuifanya vigumu kutengeneza pesa bandia
* Karatasi nene kiasi yenye rangi na bombwe hutumiwa kama mapambo ya nyumba ikipakwa kwenye kuta za nyumba
* Karatasi ni muhimu kwa kufunga bidhaa katika masanduku ya karatasi nene
* Katika utamaduni wa Asia kuta za vyumba mara nyingi ni karatasi tu
 
== Historia ==
 
== Watangulizi wa karatasi ==
Hata kabla ya kupatikana kwa karatasi yenyewe mataifa mbalimbali walitengeneza laha kwa maandiko yao.
 
Mstari 41:
 
===Karatasi kutoka China==
Karatasi yenyewe ilibuniwa nchini China. Waziri Tsai-Lun alieleza mnamo mwaka [[105]] mtindo wa kutengeneza karatasi katika kitabu chake. Mabaki ya [[hariri]] yalichanganywa na nguo zilizochakaa na [[utembo]] wa miti. Yote yalipondwa na kusagwa halafu kupikwa katika maji na kusafishwa. Nyuzi tupu zilizobaki zilichotwa kwa chujio halafu zikaslibiwa ndani ya chujio na kukandamizwa na kukaushwa.
 
Kimsingi kazi ya kutengeneza karatasi ni vile hadi leo.
Mstari 53:
Leo hii njia nyingine za kutunza kumbukumbu kama vile [[tarakilishi]] na [[mtandao]] zimeanza kupunguza umuhimu wa karatasi kama media ya habari.
 
[[CategoryJamii:malighafiMalighafi]]
 
{{Link FA|de}}
Mstari 66:
[[bg:Хартия]]
[[bn:কাগজ]]
[[bo:ཤོག་བུ།]]
[[br:Paper]]
[[bs:Papir]]