Firdusi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: ca:Firdawsí; cosmetic changes
Mstari 1:
 
[[Picha:Ferdowsi Statue Ferdowsi Square Tehran.jpg|thumb|250px|Sanamu ya Firdusi mjini [[Tehran]]]]
'''Hakim Abul-Qasim Firdusi Tusi''' ([[935]]-[[1020]]) ([[Kiajemi]]: حكیم ابوالقاسم فردوسی توسی) au '''Firdusi''' alikuwa mshairi nchini [[Uajemi]] aliyezaliwa mjini Tus. Alitunga ''[[Shahname]]'' (Kitabu cha Wafalme) ambayo ni kitenzi cha historia ya Uajemi kabla ya uvamizi wa Kiislamu.