Serbia na Montenegro : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: thumb|250px|Ramani ya Serbia na Montenegro '''Serbia na Montenegro''' (Kiserbia Србија и Црна Гора / Srbija i Crna Gora) ilikuwa nchi ya [[U...
 
No edit summary
Mstari 4:
Ilikuwa aina ya [[shirikisho]] la madola ya [[Serbia]] na [[Montenegro]]. Shirikisho hili lilikuwa yote yaliyobaki ya [[Yugoslavia]] ya awali. Serbia na Montenegro ziliwahi kuwa jamhuri za Yugoslavia zikabaki baada ya kuondoka kwa jamhuri zote nyingine kama vile [[Kroatia]], [[Slovenia]], [[Masedonia]] na [[Bosnia-Herzegovina]] hadi mwaka 1992.
 
Tangu 1992 SbiaSerbia na Montenego ziliendela kushikamana kwa jina la Shirikisho la Jamhuri ya Yugoslavia. Mwaka 2003 zilipatana kuunda jumuiya mpya ya madola yao kwa jina la "Sebia na Montenegro" iliyokuwa ushirikiano wa nchi mbili zilizojitegemea.
 
Kila nchi ilikuwa na pesa yake.