Baptisti : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: simple:Baptist |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Image:Baptist church 2 Vauxhall Saint Helier.jpg|thumb|
'''Baptisti''' ni neno
Mapokeo hayo yamechukua jina lake kutokana na mkazo juu ya [[imani]] ya wafuasi wa [[Yesu Kristo]] kwamba wanapaswa kuzamishwa ndani ya [[maji] mengi ili kuonyesha imani yao.
Kwa sababu hiyo Wabaptisti hawana desturi ya kutoa [[ubatizo]] kwa watoto wachanga.
Mbali ya msimamo huo, Wabaptisti wanatofautiana sana katika [[teolojia]] na miundo yao.
==Historia==
Msimamo wa Kibaptisti ulijitokeza kwanza [[Uswisi]] katika [[karne ya 16]], lakini ulipata nguvu zaidi [[Uingereza]] katika [[karne ya 17]].
▲Mnamo mwaka wa [[1639]], [[Roger Williams]] ameanzisha kanisa la Kibaptisti mjini [[Providence, Rhode Island]] na [[John Clarke]] ameanzisha kanisa la Kibaptisti mjini [[Newport, Rhode Island]]. Haieleweki vyema kanisa gani lililofunguliwa mwanzo. Kumbukumbu ya taarifa za makanisa yote mawili zimepotea.<ref>Brackney, William H. (Baylor University, Texas). ''Baptists in North America: an historical perspective.'' Blackwell Publishing, 2006, p. 23. ISBN 1405118652</ref>
==Marejeo==
{{reflist}}
[[Jamii:Uprotestanti]]
[[Jamii:
[[an:Ilesia baptista]]
|