Charles Townes : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
dNo edit summary
Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[Image:Nlchtownes.jpeg|thumb|Charles Townes (mwaka wa 1968)]]
 
'''Charles Hard Townes''' (amezaliwa [[28 Julai]], [[1915]]) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya [[Marekani]]. Hasa alichunguza mionzi ya aina mbalimbali na kuvumbua [[leza]]. Mwaka wa 1964, pamoja na [[Nikolai Basov]] na [[Aleksander Prokhorov]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Fizikia'''.