Siwa barafu : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 2:
[[Image:Iceberg.jpg|thumb|right|Siwa barafu inaweza kuwa na umbo kama hili; asilimia kubwa iko chini ya maji]]
'''Siwa barafu''' ni kipande kikubwa cha [[barafu]] kinachoelea baharini. Siwa barafu inaweza kusukumwa na mikondo ya baharini hadi kufika kwenye maji ya vuguvugu inapoyeyuka; kinyume chake inaweza kusukumwa dhidi ya maganda makubwa ya barafu inapounganika nayo.
==Asili ya siwa barafu==
Kwa kawaida siwa barafu hupatikana kama vipande vinavunjika kwenye [[barafuto]]
==Tabia==
|