Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 10:
Sijaoa, sina watoto lakini natumai nitabarikiwa wakati ufaao utakapotimia. Ninaishi pamoja na wazazi wangu na kaka zangu.
 
Mimi hupenda kusoma fasihi, kutazama filamu mbalimbali (isipokuwa filamu za kutisha) na kupiga picha. Mimi pia nupendahupenda kuyaandika makala mbalimbali kuhusu maswala ya jamii hasa matatizo yanayoikumba nchi ya kenya: [http://www.zileziarazangu.blogspot.com].