Wamarekani weusi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: yo:Àwọn ọmọ Áfríkà Amẹ́ríkà; cosmetic changes
Mstari 1:
[[imagePicha:Louis Armstrong restored.jpg|thumb|100x100px|Louis Armstrong]]
[[imagePicha:Martin Luther King Jr NYWTS.jpg|thumb|100x100px|Martin Luther King]]
[[imagePicha:Robert Curbeam cropped.jpg|thumb|100x100px|Mwanaanga Robert Curbeam]]
 
'''Wamarekani weusi''' ni watu wanaoishi nchini [[Marekani]] wakiwa na mababu waliotoka [[Afrika]]. Mara nyingi mababu hao walipelekwa Marekani kama [[watumwa]] katika karne zilizopita. Jina hili laweza kutaja pia watu ambao wazazi wao au hao wenyewe walihamia Marekani kutoka Afrika karibuni tu.
Mstari 7:
Watumwa walipelekwa Marekani kutoka Afrika kati ya 1619 na 1807 hasa wakati usafirishaji wa watumwa kutoka Afrika ulipigwa marufuku. Katika utamaduni wa Marekani kila mtu mwenye babu Mwafrika huhesabiwa kama "mtu mweusi" hata kama uzazi wake ni wa [[chotara]] na sehemu kubwa walikuwa watu weupe.
 
Siku hizi Wamarekani weusi wengi huishi mjini lakini bado kuna maeneo penye Wamarekani weusi wengi mashambani katika kusini ya nchi.
 
Kwa jumla kuna watu 39,151,870 wanaohesibwa kama Waamerika weusi na hao ni asilimia 13 ya Wamarekani wote.
Mstari 13:
Mashuhuri kati ya Wamarekani weusi ni wanamuziki kama [[Louis Armstrong]], wanasiasa kama [[Martin Luther King, Jr.]] au [[Barack Obama]] na waandishi kama [[Toni Morrison]].
 
[[CategoryJamii:Watu wa Marekani]]
 
[[ar:أمريكيون أفارقة]]
Mstari 66:
[[ur:افریقی-امریکی]]
[[vi:Người Mỹ gốc Phi]]
[[yo:Àwọn ọmọ Áfríkà Amẹ́ríkà]]
[[yo:Ọmọ Afrika Amerika]]
[[zh:非裔美国人]]