Yohane IV : Tofauti kati ya masahihisho

87 bytes added ,  miaka 16 iliyopita
marekebisho ya tarehe, na +jamii
(marekebisho ya tarehe, na +jamii)
[[Image:Yohannes IV.jpg|thumb|250px|right|Yohane IV]]
'''Yohannes IV''' (* [[1831]] kwa jina la Dejazmach Kassay; † [[1210 Machi]] [[1889]] Metemma, [[Sudan]]) alikuwa Ras wa [[Tigray]] na [[Kaisari]] wa [[Ethiopia]] kati ya [[1872]]–[[1889]]. Alimfuata [[Tewodros II]] akifaulu kutawala juu ya majimbo yote ya Ethiopia. <br><br> [[1876]] aliweza kuzuia mashambulio ya [[Misri]] dhidi ya Ethiopia. <br> Aliuawa katika [[mapigano ya Metemna]] dhidi ya jeshi la [[Al-Mahdi]] tar. [[910 Machi]] [[1889]]. Kichwa chake kilikatwa na kuonyeshwa baadaye [[Omdurman]].
 
{{DEFAULTSORT:Yohane IV}}
[[Category:Waliozaliwa 1831]]
[[Category:Waliofariki 1889]]
[[Category:Wafalme wa Uhabeshi]]
 
62,394

edits