Shirika Lisilo la Kiserikali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: hu:Társadalmi szervezet; cosmetic changes
No edit summary
Mstari 1:
'''Shirika Lisilo la Kiserikali''' (mara nyingi kwa kifupi cha [[Kiingereza]] kama '''"NGO"''' kwa "non-governmental organization") ni maungano ya watu wanaoshirikiana pamoja kwa kulenga shughuli za jamii kwa jumla. Haipokei maagizo kutoka kwa serikali wala hailengi faida ya kifedha kwa watu wanaoendesha shirika.
 
ShirikaMashirika zisizoyasiyo zaya serikaliKiserikali zikoyako kwenye ngazi ya miji, maeneo, kitaifa na kimataifa.
 
Kati ya shirika zisizo za serikali zinazojulikana zaidi kimataifa ni [[Shirika za msalaba mwekundu na hilali nyekundu|Msalaba Mwekundu]], makanisa na vyama vyao kama vile [[Caritas]] au [[Diakonia]], shirikia nyingine za kidini zinazotoa huduma za umma, [[Amnesty International]], [[Madaktari wasio na Mipaka-MSF]], [[Oxfam]] na wengi wengine. Jumla la shirika zisizo za serikali zinazofanya kazi kwenye kiwango cha kimataifa hukadiriwa na [[Umoja wa Mataifa]] kufikia takriban 40,000. Umoja wa Mataifa hujaribu kuzikusanya kwenye mikutano za kijamii za dunia.