New Brunswick : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: sl:Novi Brunswick; cosmetic changes
dNo edit summary
Mstari 3:
'''New Brunswick''' (Brunswick mpya) ni jimbo la [[Kanada]] upande wa [[Bahari Atlantiki]]. Ni moja kati ya Kanada ya majimbo ya bahari 3 ([[Kiingereza]]: ''Maritime provinces'').
 
[[Fredericton, New Brunswick|Fredericton]] ni mji mkuu na [[Saint John, New Brunswick|Saint John]] ni mji mkubwa. Una eneo la 72,908 [[Kilomita ya mraba|km²]]. Kunako mwaka wa 2009, idadi ya wakazi ilikuwa 748,319. Imepakana na [[Quebec]] na [[Nova Scotia]].
 
Kuna lugha rasmi 2: [[Kiingereza]] na [[Kifaransa]] (32%).