Siku ya pai : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with 'thumb|right|Larry Shaw mwanzilishaji wa sikukuu ya Pi pamoja na keki za sherehe [[Image:Pi pie2.jpg|thumb|right|Keki ya Pi iliyoandaliwa kwenye chuo ki...'
 
No edit summary
Mstari 11:
Sherehe ya sikukuu ya Pi ilianzishwa na mwanafizikia kama mbinu wa kuvuta wageni katika makumbusho ya kisayansi unaoitwa exploratorium mjini [[San Francisco]] (Marekani). Walitaka kuonyesha hisabati na sayansi kwa njia y kuvutia kwa hiyo walianzisha sherehe katika chumba kipya chenye umbo la duara. Wakasheherekea kwa kuandaa na kula keki za mviringo (zinazoitwa "pie" kwa Kiingereza, neno la kufanana na "pi").
 
Polepole sherehe ilianza kusambaa hasa baada ya kupokelewa na walimu wa hisabati kama nafasi nzuri ya kuonyesha hisabati pamoja na mizaha kadhaa na kula keki za mviringo wakati wa vipindi. Harakati ya kusambaza sikukuu hiyo iliongezeka baada ya kutambua ya kwamba tar. 14 Machi ni iapia sikukuu ya kuzaliwa kwa [[Albert Einstein]].
 
Siku ya Pi kwenye 22 Julai humkumbuka hasa mtaalamu wa kale [[Archimedes]] aliyetambua thamani ya Pi kukarbia 22/7.
 
== Viungo vya Nje ==