Tofauti kati ya marekesbisho "Siku ya Pi"

11 bytes added ,  miaka 10 iliyopita
no edit summary
 
==Chanzo cha sikukuu==
Sherehe ya sikukuu ya Pi ilianzishwa na mwanafizikia Larry Shaw kama mbinu wa kuvuta wageni katika makumbusho ya kisayansi unaoitwa exploratorium mjini [[San Francisco]] (Marekani). Walitaka kuonyesha hisabati na sayansi kwa njia y kuvutia kwa hiyo walianzisha sherehe katika chumba kipya chenye umbo la duara. Wakasheherekea kwa kuandaa na kula keki za mviringo (zinazoitwa "pie" kwa Kiingereza, neno la kufanana na "pi").
 
Polepole sherehe ilianza kusambaa hasa baada ya kupokelewa na walimu wa hisabati kama nafasi nzuri ya kuonyesha hisabati pamoja na mizaha kadhaa na kula keki za mviringo wakati wa vipindi. Harakati ya kusambaza sikukuu hiyo iliongezeka baada ya kutambua ya kwamba tar. 14 Machi ni pia sikukuu ya kuzaliwa kwa [[Albert Einstein]].