Tofauti kati ya marekesbisho "Siku ya Pi"

8 bytes added ,  miaka 10 iliyopita
no edit summary
[[Image:prince-of-pi.jpg|thumb|right|Larry Shaw mwanzilishaji wa sikukuu ya Pi pamoja na keki za sherehe]]
[[Image:Pi pie2.jpg|thumb|right|Keki ya Pi iliyoandaliwa kwenye chuo kikuu cha Delft (Uholanzi)]]
'''Sikukuu ya Π''' (tamka: pi) ni siku ya kusheherekea namba '''[[Π]]''' ('''[[pi]]'''). Husheherekewa na wanahisabati na marafiki wa [[hisabati]] duniani. Pi si namba ya kawaida huitwa "namba ya duara" na thamani yake hukaribia 3,14159265358 au chamkano cha 22/7.
 
==Tarehe mbili==