Daudi (Biblia) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: bn:দাউদ
d roboti Badiliko: la:David (rex); cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:David and Goliath by Caravaggio.jpg|thumb|Daudi akimmaliza Goliathi katika mchoro wa [[Caravaggio]]]]
'''Daudi''' (kwa [[Kiebrania]] '''דוד''', Daud) alikuwa mfalme wa pili wa [[Israeli ya Kale]] mnamo mwaka [[1000 K.K.]]. Alimfuata mfalme [[Sauli]] akafuatwa na [[Suleimani]].
 
Mstari 24:
Kwa [[unyenyekevu]] wake huo alimpendeza Mungu akapewa naye ahadi ya ajabu, yaani kwamba ufalme wake utadumu milele (2Sam 7). [[Utabiri]] huo wa nabii [[Nathani]] ukaja kuongoza [[tumaini]] la Waisraeli hasa walipodhulumiwa, k.mf. zamani za [[Yesu]] chini ya [[ukoloni]] wa Kirumi, ambapo wote walimtazamia [[mwana wa Daudi]] mwenye kurudisha ufalme wa Israeli.
 
Pamoja na hayo, Kisha kupewa ahadi hiyo alikwenda mbele ya Mungu na kusali vizuri kama kawaida yake hata nje ya ibada: [[sala]] yake ya sifa na [[shukrani]] imejaa mshangao kwa ukuu wa Mungu na [[fadhili]] zake na kumalizika kwa ombi nyenyekevu.
 
Ingawa hakukubaliwa kumjengea Mungu [[hekalu]] la ajabu alivyokusudia, amekuwa mwalimu wa sala kwa nyakati zote: hata leo [[liturujia]] ya [[Uyahudi]] na ya [[Ukristo]] inategemea sana zaburi zake.
Mstari 40:
==Kitabu cha Zaburi==
 
[[Kitabu cha Zaburi|Zaburi]] nyingi zinamtaja Daudi kama mwandishi au zimeandikwa kwa heshima yake.
 
[[Qurani]] inafundisha kwamba Daudi alikuwa [[mtume]] wa [[Allah]] aliyepewa kitabu cha "Zabur".
Mstari 83:
[[ko:다윗]]
[[ku:Dawid]]
[[la:David (Rexrex)]]
[[lt:Dovydas]]
[[ml:ദാവീദ്]]