Hekalu la Yerusalemu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: tl:Templo sa Herusalem
Mstari 1:
[[ImagePicha:Jerusalem Ugglan 1.jpg|thumb|300px|Uchoraji wa Hekalu ya Kwanza]]
'''Hekalu la Yerusalemu''' lilikuwa kitovu cha [[ibada]] za [[Uyahudi]] wakati wa [[Israeli ya Kale]].
 
Kwa jumla kulikuwa na majengo mawili yaliyofuatana kwenye [[mlima]] wa [[hekalu]] [[mji|mjini]]ni [[Yerusalemu]].
 
[[Imani]] ya Kiyahudi inategemea kujengwa kwa hekalu la tatu pamoja na kuja kwa [[Masiya]] wakati ujao.
Mstari 26:
Katika hekalu hilo la pili sehemu ya Patakatifu pa Patakatifu ilikaa bila ya kitu ndani yake, kwa sababu [[Sanduku la Agano]] lilipotea tangu kubomolewa kwa hekalu la kwanza.
 
Hekalu liliharamishwa na mfalme [[Antioko IV]] mwaka [[169 KK]] alipoweka hapa [[sanamu]] ya mungu wa Kigiriki [[Zeus]].
 
Hatua hiyo ilisababisha upinzani wa [[Wamakabayo]] waliorudisha ibada ya Kiyahudi hekaluni na hadi leo sherehe ya [[Hanuka]] inakumbusha kutakaswa kwa hekalu.
Mstari 36:
 
Kwa kawaida hekalu linalotajwa katika [[Agano Jipya]] ni hilo la Herode.
[[ImagePicha:Sack of jerusalem.JPG|thumb|300px|Wanajeshi Waroma wakibeba kinara cha mishumaa na vifaa vingine kutoka Hekalu la Yerusalemu baada ya huliharibu mwaka 70]]
Mwaka [[70]] jeshi la [[Dola la Roma]] lilivamia Yerusalemu na kubomoa hekalu.
 
Mstari 52:
Ukuta wa magharibi wa hekalu la Herode unaoitwa [[Ukuta wa Maombolezo]] ni [[patakatifu]] pa Wayahudi.
 
[[CategoryJamii:Yerusalemu]]
[[Jamii:Majengo]]
 
Mstari 94:
[[sq:Tempulli i Jeruzalemit]]
[[sv:Jerusalems tempel]]
[[th:วัดพระวิหารแห่งเยรุซาเล็ม]]
[[tl:Templo sa Herusalem]]
[[tr:Kudüs Tapınağı]]