Uwanja wa michezo wa Bukhungu : Tofauti kati ya masahihisho

Majengo ya Kenya
Content deleted Content added
Created page with ' ==Bukhungu Stadium== '''Bukhungu Stadium''' ni uwanja wa michezo ulioko mjini Kakamege.Uwanja huu unabeba takribani mashabiki elfu tano <references />.Uwanja huu hutumika ha...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 13:24, 16 Machi 2010

Bukhungu Stadium

Bukhungu Stadium ni uwanja wa michezo ulioko mjini Kakamege.Uwanja huu unabeba takribani mashabiki elfu tano .Uwanja huu hutumika haswa kwa michezo ya kandanda.Michezo mingine kama vile riadha hufanyikia hapo.Pia,michezo ya shule za upili hufanyikia hapo.Mikutano ya hadhara kama vile mkutano ule wa Mwai Kibaki na Michael Kijana Wamalwa mwaka wa 2002,walipotangaza kuwa chama chao cha NAK kingeungana na kile cha Rainbow Alliance kilicho ongozwa na Raila Odinga .

Sakafu

Sakafu ya uwanja huu ni wa nyasi.

Western Stima FC

Uwanja huu ni nyumbani mwa kilabu cha kandanda cha Western Stima FC kilicho katika Ligi Kuu ya Kandanda ya Kenya.


<default sort/>

Marejeo

[1] [2] [3]