Uwanja wa michezo wa Bukhungu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
==Bukhungu Stadium==
'''Bukhungu Stadium''' ni uwanja wa michezo uli katika [[Mji wa Kakamege]].Uwanja huu unabeba takribani mashabiki elfu tano [http://www.worldstadiums.com/africa/countries/kenya.shtml].</ref>Uwanja huu hutumika haswa kwa michezo ya kandanda.Michezo mingine kama vile riadha hufanyikia hapo.Pia,michezo ya shule za upili hufanyikia hapo.Mikutano ya hadhara kama vile mkutano ule wa [[Mwai Kibaki]] na [[Michael Kijana Wamalwa]] mwaka wa 2002,walipotangaza kuwa chama chao cha [[NAK]] [http://www.kbc.co.ke/story.asp?id=13230] </ref> kingeungana na kile cha [[Rainbow Alliance]] kilichoongozwa na [[Raila Odinga]].
 
==Sakafu==
Mstari 6:
 
==Western Stima FC==
Uwanja huu ni nyumbani mwa kilabu cha kandanda cha [[Western Stima FC]] kilicho katika [[Ligi Kuu ya Kandanda ya Kenya]].[http://www.soccerway.com/teams/kenya/western-stima/venue/]</ref>.
 
 
==Marejeo==
[http://www.soccerway.com/teams/kenya/western-stima/venue/]
</ref list>
[http://www.kbc.co.ke/story.asp?id=13230]
[http://www.worldstadiums.com/africa/countries/kenya.shtml]