Kiwango cha kuyeyuka : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ms:Peleburan
d + file
Mstari 1:
[[File:Melting icecubes.gif|175px|right|thumb|]]
'''Kiwango cha kuyeyuka''' ni [[halijoto]] ambako [[dutu mango]] hubadilika na kuingia katika [[hali ya kiowevu]].
Dutu nyingi haziyeyuki mara moja lakini kuna upeo fulani wa sentigredi kadhaa ambako dutu yalainika hadi kuyeyuka kabisa. Kiwango cha kuyeyuka ni hali ambako tabia za hali imara na hali kiowevu ziko kwa uwiano sawa.