Content deleted Content added
Mstari 57:
Naam, baada ya shindano na kimya kifupi, Sam arejea tena. Wakati huu si kuwapa wenzake usiku usio na usono katika shindano, bali kuiendeleza Wikipedia yetu kadiri niwezavyo.
 
Pole kwa kimya changu lakini zilikuwa harakati za kufuailia tuzo langu na kujitayarisha kurejea shuleni. Katika mkutano na Google na Wikimedia nilijaaliwa kuonana na [[Erik MollerMöller]], Kiongozi Mkuu wa Mradi wa [[Wikimedia]] na mwenzake Frank, na vile vile [[Christine Moon]] na Angela wa Google. Pia nilikutana ana kwa ana na [[Dennis Gikunda]], Meneja wa ustawi wa Kinyumbani wa Google katika [[Afrika]]. Pia asiyesahaulika ni ''Oliver Stegen'': Ndio, Baba Tabita mwenyewe al maarufu BT. Hata hivyo nilifika nikiwa nimejelewa kwa hivyo nina huzuni kuwa sikupata fursa ya kuongea naye!! Niliona akiniangalia na macho ya kudadisi, haikosi hakujua ni Samson, lakini alishuku kuwa ni yeye.
 
Licha ya hao, ilikuwa fahari yangu kuburudika pamoja na washindi wengine kama Kamero, Abbas, Ivermarc, Xelawafs, Limoke, Jakibiro, Kosgey na wengineo (Kandyzo hakuonekana siku hiyo)