Content deleted Content added
Mstari 47:
 
:Haya, basijipongeze kwa matumizi yako ya Beta! Pia karibu tena katika Wikipedia ya Kiswahili. Uwepo wako utasaidia kuisukuma Wikipedia yetu kwa asilimi nyingi tu, kaka.--[[User:Muddyb Blast Producer|<font color="blue"><sub>'''Mwanaharakati'''</sub></font>]]</span><font face="Verdana">[[User talk:Muddyb Blast Producer|<font color="gray"><sup>'''Longa'''</sup></font>]] 15:18, 16 Machi 2010 (UTC)
 
Ahsante kaka [[User talk:Muddyb Blast Producer]]. Naomba msaada wenu ili niweze kuandika makala bora zaidi Nahisi kuwa bado sijahitimu kutosha kuandika makala bora ila naapa kujizitatiti.Miye '''[[Mtumiaji:Limoke oscar|Limoke oscar]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Limoke oscar#top|majadiliano]])''' 18:09, 16 Machi 2010 (UTC)18:05, 16 Machi 2010 (UTC)
 
::Sidhani kama kuna tatizo la kuto-kukusadia jinsi ya kuandika makala bora. Halafu sidhani kama kuna mmoja wetu anayeweza kusema makala fulani si bora! Ila tu, tunajitahidi. Basi jidhatiti ili tufikie lengo! Ukiwa una swali lolote kuhusiana na maujuzi au maujanja ya matumizi ya zana hizi za kiwiki, basi [[User talk:Muddyb Blast Producer|nijulishe]] nami nitakusaidia. Karibu sana.--[[User:Muddyb Blast Producer|<font color="blue"><sub>'''Mwanaharakati'''</sub></font>]]</span><font face="Verdana">[[User talk:Muddyb Blast Producer|<font color="gray"><sup>'''Longa'''</sup></font>]] 06:25, 17 Machi 2010 (UTC)