Tofauti kati ya marekesbisho "Bongo kuu (kompyuta)"

5 bytes added ,  miaka 11 iliyopita
 
==Upatikanaji==
Upatikanaji wa bongo kuu unategemea kasi, ukubwa wa mchakato wa data, pamoja na bei na unaweza kuzinunua popote pale kwenye maduka ya spea za kompyuta. Pia unahitajika kujua muingiliano wa bongo kuu ya kompyuta unayoitumia na spea utakayoinunua kabla hauja inunua kwani haitaweza kufanya kazi ipasavyo ikiwa kutakuwa na utofauti baina ya [[bodi mama]] na bongo kuu.
 
==Marejeo==
{{marejeo}}
465

edits