Jimbo la Nile ya Juu : Tofauti kati ya masahihisho

Jimbo a Sudani ya kusini
Content deleted Content added
Created page with ':''Makala hii inahusu jimbo la Sudan. '' ''Kuhusiana na mto, tazama Nile'' {{Coord|29|32|N|32|40|E|display=title}} thumb|Upper Nile '''Upper Ni...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 11:18, 17 Machi 2010

Makala hii inahusu jimbo la Sudan. Kuhusiana na mto, tazama Nile

29°32′N 32°40′E / 29.533°N 32.667°E / 29.533; 32.667

Upper Nile

Upper Nile (Kiarabu: أعالي النيل‎ inatafsiriwa: A'aly an-Nyl au Aala En Nil) ni moja ya Wilayat au majimbo 26 ya Sudan. Gavana wa sasa wa Upper Nile ni Gatluak Deng Garang. Mto wa White Nile unapitia hapa. Lina ukubwa wa eneo la 22,122 km² na wakaazi wanaokadiriwa kuwa 4,700,000 (2000). Malakal ndio mji mkuu wa jimbo hili. Mji wa Kodok, ambao ndio mahala pa Matukio ya Fashoda yaliyomaliza mashindano ya wakoloni kugawa Afrika , uko katika jimbo hili.

Vituo vya zamani vya mishonari katika jimbo la Upper Nile ni pamoja na Dolieb Hill,Lul na Detwoc.

Tazama pia

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jimbo la Nile ya Juu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.