Content deleted Content added
Mstari 62:
:::Basi haya ni mawazo machache tu naomba usikate tamaa na endelea!--'''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 09:28, 17 Machi 2010 (UTC)
 
Shukrani Kaka [[Mtumiaji:Kipala|Kipala]],kidogo nina shida ya ku redirect vile umesema.unawez kunisaidia jinsi ya kufanya hivyo?Pili,nimetafsiri makal mengine haya hapa http://sw.wikipedia.org/wiki/Uwanja_wa_Kimataifa_wa_Michezo_wa_Moi na http://sw.wikipedia.org/wiki/Western_Stima.
[[Uwanja wa Kimataifa wa Michezo wa Moi]] na [[Western Stima]].Pia naomba kujua jinsi ya kufuatilia wanawikipedia wengine ili nipate kuona jinsi wanavyo andika makala yao.Nimejaribu ku redirect vile umesema,makala ya hapo awali ndo haya [[Upper Nile ,Sudan]] na mabadiliko ndo haya[[Jimbo la Nile ya Juu,Sudan]]
:::shukrani.miye11:11, 17 Machi 2010 (UTC)
shukrani.miye '''[[Mtumiaji:Limoke oscar|Limoke oscar]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Limoke oscar#top|majadiliano]])''' 11:25, 17 Machi 2010 (UTC)