Content deleted Content added
Mstari 63:
 
Shukrani Kaka [[Mtumiaji:Kipala|Kipala]],kidogo nina shida ya ku redirect vile umesema.unawez kunisaidia jinsi ya kufanya hivyo?Pili,nimetafsiri makal mengine haya hapa:
[[Uwanja wa Kimataifa wa Michezo wa Moi]] na [[Western Stima]].Pia naomba kujua jinsi ya kufuatilia wanawikipedia wengine ili nipate kuona jinsi wanavyo andika makala yao.Nimejaribu ku redirect vile umesema,makala ya hapo awali ndo haya [[Upper Nile , Sudan]] na mabadiliko ndo haya [[Jimbo la Nile ya Juu,Sudan]]
shukrani.miye '''[[Mtumiaji:Limoke oscar|Limoke oscar]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Limoke oscar#top|majadiliano]])''' 11:25, 17 Machi 2010 (UTC)