Tofauti kati ya marekesbisho "Erie (ziwa)"

12 bytes added ,  miaka 12 iliyopita
d
roboti Nyongeza: hr:Erie (jezero); cosmetic changes
d (roboti Nyongeza: ar:بحيرة إري)
d (roboti Nyongeza: hr:Erie (jezero); cosmetic changes)
[[ImagePicha:Great Lakes Lake Erie.png|thumb|right|Ziwa Erie (buluu nyeusi) kati ya maziwa makubwa]]
'''Ziwa Erie''' ni moja ya maziwa makubwa ya [[Amerika ya Kaskazini]]. Pamoja na maziwa mengine ya [[Ziwa Superior]], [[Ziwa Huron]] na [[Ziwa Ontario]] liko mpakani kati ya [[Marekani]] na [[Kanada]] na mpaka huu umepita ziwani.
 
Ziwa Erie hupokea maji yake kutoka Ziwa Huron kupitia mto Detroit. Kuna pia mito mingine inayoishia moja kwa moja ziwani. Maji hutoka kwa nia ya mto Niagara kwenda Ziwa Ontario. Maporomoko ya Niagara yako kati ya maziwa Erie na Ontario.
 
== Vipimo ==
Ziwa lina urefu wa kilomita 388 na upana mkubwa wa 92 km. Uso wake una eneo la 25,744 km². Kina cha wastani ni 19 m lakini kina kikubwa chafikia 64 m.
 
{{mbegu-jio-Kanada}}
{{mbegu-jio-USA}}
 
[[Category:Maziwa ya Marekani|Erie]]
[[CategoryJamii:Maziwa ya KanadaMarekani|Erie]]
[[CategoryJamii:Maziwa makubwa ya Amerika ya KaskasiniKanada|Erie]]
[[Jamii:Maziwa makubwa ya Amerika ya Kaskasini]]
[[CategoryJamii:Ohio]]
[[Jamii:Michigan]]
[[Jamii:Ontario]]
[[he:ימת אירי]]
[[hi:ईरी]]
[[hr:Erie (jezero)]]
[[hu:Erie-tó]]
[[id:Danau Erie]]
44,136

edits