Ziwa Superior : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: hr:Superior; cosmetic changes
Mstari 1:
[[ImagePicha:Lake-Superior.svg|200px|left|thumb|Ziwa Superior pamoja na maziwa makubwa]]
[[ImagePicha:LakeSuperior arf.jpg|200px|right|thumb|Desemba 2004]]
'''Ziwa Superior''' (Ziwa Kubwa) ni moja kati ya maziwa makubwa ya [[Amerika ya Kaskazini]]. Ni ziwa kubwa la bara hili. Pamoja na maziwa ya [[Ziwa Huron]], [[Erie (ziwa)|Ziwa Erie]] na [[Ziwa Ontario]] liko mpakani kati ya [[Marekani]] na [[Kanada]] na mpaka huu umepita ziwani.
 
Ziwa limepakana na Kanada ([[Ontario]]) upande wa kaskazini halafu na Marekani ([[Minnesota]], [[Wisconsin]] na [[Michigan]]) upande wa kusini.
 
Ziwa Superior hupokea maji yake kutoka kwa mito mingi inayoishia humo; maji yake hutoka kwenda [[Ziwa Huron]] kupitia [[mto St. Mary's]] na [[Soo Locks]].
 
== Vipimo ==
 
Ziwa lina urefu wa [[kilomita]] 563 na upana mkubwa wa 257 [[kilomita|km]]. Uso wake una eneo la 82,400. Kina cha wastani ni 147 [[Mita|m]] lakini kina kikubwa cahfikia 406 m.
Mstari 23:
{{mbegu-jio-Kanada}}
 
[[CategoryJamii:Maziwa ya Marekani|Superior]]
[[CategoryJamii:Maziwa ya Kanada|Superior]]
[[Jamii:Michigan]]
[[Jamii:Wisconsin]]
[[Jamii:Minnesota]]
[[Jamii:Ontario]]
[[Jamii:maziwaMaziwa makubwa ya Amerika ya Kaskasini|Superior]]
[[Jamii:Ziwa Superior| ]]
 
Mstari 54:
[[he:ימת סופיריור]]
[[hi:सुपीरियर झील]]
[[hr:Superior]]
[[hu:Felső-tó]]
[[id:Danau Superior]]