Radi (elementi) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: zh-yue:鐳
d roboti Badiliko: fa:رادیوم; cosmetic changes
Mstari 12:
| densiti husianifu =
| kiwango cha kuyeyuka = 973 [[K]] (700 [[°C]])
| kiwango cha kuchemka = 2010 K (1737  °C)
| kiwango utatu =
| % ganda dunia =
Mstari 19:
}}
 
[[ImagePicha:Saa_yenye_radi_ya_kung'aa.jpg|thumb|300px|left|Saa hii yaonekana gizani kwa sababu nukta kwenye namba na kwenye mikono yake hung'aa gizani kutokana na radi kwenye rangi ya kijani na nukta hizi]]
'''Radi''' ([[kilatini]] "radius") ni [[elementi]] katika [[mfumo radidia]] yenye alama '''Ra'''. [[Namba atomia]] ni '''88''' na [[uzani atomia]] ni 226.0254. Jina limechaguliwa kutokana na tabia yake ya [[ununurifu]], kilatini "radius" yamaanisha "mwale" au "mwonzi". Kikemia radi ni [[metali ya udongo alikalini]] yenye rangi nyeupe. Lakini inaoksidisha haraka kushika rangi nyeusi.
 
Radi ni haba sana hutokea kama sehemu ya mchanganyiko wa madini kadhaa pamoja na [[urani]]. Hutokea hasa kama [[isotopi]] ya 226Ra yenye [[nusumaisha]] ya miaka 1,602 ikibadilika kuwa gesi ya [[radoni]].
 
== Historia ya radi ==
Radi ilitambuliwa mara ya kwanza [[1898]] na mwanakemia Mpoland [[Marie Curie]] na mume wake Mfaransa Pierre. Baadaye ilitumiwa kwa ajili ya saa ziliyotakiwa kuonekana usiku kwa sababu radi inang'aa gizani kutokana unururifu wake. Ilitumiwa pia kama dawa hadi ilipoonekana mnamo 1930 ya kwamba inasababisha magonjwa ya [[kansa]].
 
Mstari 31:
{{mbegu-kemia}}
{{mbegu-fizikia}}
 
[[CategoryJamii:Elementi]]
[[CategoryJamii:Metali za udongo alikalini]]
[[CategoryJamii:Dutu nururifu]]
 
[[als:Radium]]
Line 56 ⟶ 57:
[[et:Raadium]]
[[eu:Radio (elementua)]]
[[fa:رادیمرادیوم]]
[[fi:Radium]]
[[fr:Radium]]