Melvin Schwartz : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ar:ملفن شفارتز
Mstari 4:
Alikuwa mtoto wa mji wa New York akasoma [[Bronx High School of Science]] na [[chuo kikuu]] cha [[Columbia University]] alipokuwa mwanafunzi wa mshindi wa Tuzo Nobel [[Isidor I. Rabi]] na profesa msaidizi tangu 1958.
 
[[1966]] alihamia [[StanfordChuo UniversityKikuu cha Stanford]] alipokuta machine mpya ya kuharakisha mwendo wa chembe za kinyuklia iliyomsaidia kuendeleza utafiti wake.
 
[[1991]] akawa mkurugenzi msaidizi wa idara ya fizikia ya kinyuklia kwenye taasisi ya ''[[Brookhaven National Laboratory]]'' (yaani Maabara ya Kitaifa kule Brookhaven, Marekani) alipowahi kutekeleza majaribio yake yaliyompatia tuzo ya Nobel baadaye. Wakati ule akawa pia profesa kamili huko Columbia.
Mstari 21:
[[Category:Wanasayansi wa Marekani]]
[[Category:Tuzo ya Nobel ya Fizikia]]
[[Jamii:Watu katika Chuo Kikuu cha Stanford]]
 
[[ar:ملفن شفارتز]]