Jenasi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: be:Род, біялогія
d roboti Nyongeza: gv:Genus; cosmetic changes
Mstari 1:
[[imagePicha:Uainishaji.png|right|thumb|150px|Ngazi za uainishaji katika biolojia; ngazi ndogo za kati hazionyeshwi]]
'''Jenasi''' ''(kutoka [[Kigiriki]] Γένος ''genos'' / [[Kilatini]] genus "nasaba, ukoo, familia, aina")''<ref>kwa uwingi wa jenasi kuna pia neno "jenera" ambayo ni uwingi wa Kilatini unaotumiwa pia kwa [[Kiingereza]]</ref> ni ngazi katika [[uainishaji wa kisayansi]] unaopanga [[viumbehai]] ([[mimea]], [[wanyama]]) katika vikundi kulingana na nasaba zao.
 
Jenasi moja huwa na [[spishi]] ndani yake. Jenasi kwa pamoja hupangwa katika [[familia (biolojia)|familia]].
 
Katika jina la Kisayansi la kiumbehai ni lazima kutaja jenasi. Kwa mfano [[paka]] anaitwa "''Felis silvestris catus''". [[Felis]] ni jina la jenasi. Jenasi huandikwa kwa herufi kubwa.
 
==Maelezo==
<references/>
 
[[Category:Uainishaji]]
{{mbegu-biolojia}}
 
[[CategoryJamii:Uainishaji]]
 
[[af:Genus]]
Mstari 36:
[[ga:Géineas]]
[[gl:Xénero (bioloxía)]]
[[gv:Genus]]
[[he:סוג (טקסונומיה)]]
[[hr:Rod (taksonomija)]]