Tofauti kati ya marekesbisho "Furukombe"

2,885 bytes added ,  miaka 10 iliyopita
Ukurasa mpya
(Furukombe umesogezwa hapa Furukombe wa Afrika: Kuna spishi nyingine pia)
 
(Ukurasa mpya)
{{Uainishaji
#REDIRECT [[Furukombe wa Afrika]]
| rangi = pink
| jina = Furukombe
| picha = African Fish-Eagle (Haliaeetus vocifer).jpg
| upana_wa_picha = 250px
#REDIRECT| maelezo_ya_picha = [[Furukombe wa Afrika]]
| himaya = [[Animalia]] (Wanyama)
| faila = [[Chordate|Chordata]] (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
| nusufaila = [[Vertebrata]] (Wanyama wenye uti wa mgongo)
| ngeli = [[Ndege|Aves]] (Ndege)
| oda = [[Falconiformes]] (Ndege kama [[kozi]])
| familia = [[Accipitridae]] (Ndege walio na mnasaba na [[mwewe]])
| jenasi = ''[[Haliaeetus]]''
| bingwa_wa_jenasi = [[Marie Jules César Savigny|Savigny]], 1809
}}
'''Furukombe''', '''fukombe''', '''kwazi''', '''yowe''' au '''tai mlasamaki''' ni [[ndege (mnyama)|ndege]] mbua wa [[jenasi]] ''[[Haliaeetus]]'' katika [[familia]] [[Accipitridae]]. Ndege hawa ni baina ya [[tai]] wakubwa kabisa. Uzito wao unatofautiana kutoka kg 2 (furukombe wa Sanford) mpaka 9 (furukombe wa Steller). [[Unyoya|Manyoya]] yao yana rangi ya [[kahawa]] mpaka nyeusi lakini [[kichwa]], [[mkia]], [[kidari]] na [[tumbo]] ni nyeupe kufuatana na [[spishi]]. [[Furukombe wa Madagaska]], wa Sanford na wa Ulaya wana kichwa hudhurungi. Spishi zote zinatokea karibu na [[maji]] ama baridi au ya [[bahari]]. Hula [[samaki]] hasa lakini ndege wengine, [[mzoga|mizoga]] na mara kwa mara [[mnyama|wanyama]] wadogo pia. Hujenga tago lao kwa vijiti juu ya [[mti]] au mwamba. Jike hutaga [[yai|mayai]] 1-3.
 
==Spishi za Afrika==
* ''Haliaeetus vocifer'', [[Furukombe wa Afrika]] ([[w:African Fish-eagle|African Fish Eagle]])
* ''Haliaeetus vociferoides'', [[Furukombe wa Madagaska]] ([[w:Madagascar Fish-eagle|Madagascar Fish Eagle]])
 
==Spishi za mabara mengine==
* ''Haliaeetus albicilla'' ([[w:White-tailed Eagle|White-tailed Eagle]])
* ''Haliaeetus leucocephalus'' ([[w:Bald Eagle|Bald Eagle]])
* ''Haliaeetus leucogaster'' ([[w:White-bellied Sea-eagle|White-bellied Sea Eagle]])
* ''Haliaeetus leucoryphus'' ([[w:Pallas's Fish-eagle|Pallas's Fish Eagle]])
* ''Haliaeetus pelagicus'' ([[w:Steller's Sea-eagle|Steller's Sea Eagle]])
* ''Haliaeetus sanfordi'' ([[w:Sanford's Sea-eagle|Sanford's Sea Eagle]])
 
==Picha==
<gallery>
File:African fish eagle just caught fish.jpg|Furukombe wa Afrika
File:Madagascarfisheagle.jpg|Furukombe wa Madagaska
</gallery>
<gallery>
File:White tailed eagle.jpg|White-tailed eagle
File:Bald Eagle, Kodiak, Alaska Ret.jpg|Bald eagle
File:White Bellied Sea Eagle 070531b.jpg|White-bellied sea eagle
File:Pallas's Fish Eagle ( Haliaeetus leucoryphus) 2.jpg|Pallas's fish eagle
File:Stellar's Sea Eagle.jpg|Steller's sea eagle
</gallery>
 
[[Jamii:Kozi na jamaa]]
 
[[br:Morerer]]
[[bg:Морски орли]]
[[de:Seeadler (Gattung)]]
[[en:Sea eagle]]
[[es:Haliaeetus]]
[[fr:Haliaeetus]]
[[it:Haliaeetus]]
[[he:עיטם]]
[[ka:ფსოვი]]
[[hu:Haliaeetus]]
[[nl:Zeearenden]]
[[pl:Orłany]]
[[ru:Орланы]]
[[simple:Sea eagle]]
[[fi:Merikotkat]]
[[sv:Havsörnar]]
[[uk:Орлан]]
[[zh:海鵰屬]]
10,613

edits