Tofauti kati ya marekesbisho "Kilogramu"

28 bytes added ,  miaka 10 iliyopita
d
roboti Nyongeza: krc:Килограмм; cosmetic changes
d (roboti Nyongeza: cy:Cilogram)
d (roboti Nyongeza: krc:Килограмм; cosmetic changes)
[[ImagePicha:CGKilogram.jpg|thumb|Nakala ya kilogramu asilia]]
 
'''Kilogramu''' ni kipimo sanifu cha [[SI]] kwa ajili ya [[masi]] ya gimba. Kifupi chake ni kg. Sehemu yake ndogo huitwa "gramu" kwa kifupi "g". Kuna gramu 1000 katika kilogramu moja. Hata kama kifizikia kuna tofauti kati ya masi na [[uzito]] kilogramu hutumiwa pia kama kipimo cha uzito.
 
Kilogramu moja ni sawa na masi ya kilogramu asilia ambayo ni kipande cha metali kilichopo mjini [[Paris]] kwenye [[Ofisi ya Kimataifa ya Vipimo]]. Nakala 40 za kilogramu asilia zilitengenezwa Paris na kutumwa penginepo duniani penye ofisi za kutunza vipimo kitaifa au kikanda.
 
Kilogramu ilikuwa kati ya vipimo vipya vilivyoanzishwa baada ya [[mapinduzi ya kifaransa]] pamoja na kipimo cha [[mita]]. Kiasili kilielezwa kuwa sawa na lita moja ya maji kwenye halijoto ya sentigredi 4 (kamili 3,98  °C). Lakini elezo hili halikuridhika wataalamu wa kimataifa wa vipimo wakaendelea kutengeneza mfano wake wa metali ya [[platini]]-[[iridi]].
 
Nakala zake hutumiwa penginepo kuhakikisha mizani ya taifa fulani ni sahihi.
Siku hizi wataalamu wanatafuta bado njia bora kwa sababu wengi hawaridhiki kutegemea gimba moja ambalo linaweza kuharibiwa au kupotea.
 
* kilogramu 1 = [[gramu]] 1000
* kilogramu 1000 = [[tani]] moja
 
== Marejeo ==
* [http://www.sizes.com/units/kilogram.htm Kilogramu kwenye tovuti ya sizes.com]
* [http://www.bipm.org/en/home Tovuti rasmi ya Ofisi ya Kimataifa ya Vipimo]
 
{{mbegu-sayansi}}
 
[[Category:Vipimo vya uzito]]
[[CategoryJamii:Vipimo sanifu vya kimataifauzito]]
[[Jamii:Vipimo sanifu vya kimataifa]]
 
[[als:Kilogramm]]
[[ka:კილოგრამი]]
[[ko:킬로그램]]
[[krc:Килограмм]]
[[ksh:Masse]]
[[la:Chiliogramma]]
44,008

edits