Dili : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: hif:Dili
No edit summary
Mstari 17:
 
Mji uko upande wa kaskazini ya kisiwa cha [[Timor]] una bandari kuu la nchi pamooja na uwanja wa ndege wa kimatifa. Ni pia mahali pa [[chuo kikuu]] cha Timor ya Mashariki.
 
[[Picha:Díli.PNG|200px|thumb|Dili]]
 
Mji ulianzishwa na Wareno mnamo mwaka 1520 ukawa makao makuu ya koloni ya Kireno. Uhuru wa nchi ulitangazwa hapa 1975 uliofuatwa na uvamizi wa [[Indonesia]]. Vita ya ukombozi ilileta uharibifu mwingi.