Bunge : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: eu:Parlamentu
d roboti Nyongeza: krc:Парламент; cosmetic changes
Mstari 1:
'''Bunge''' ni chombo cha kutunga [[sheria]] na pia ni mmoja wa mihimili mitatu inayounda mfumo wa [[utawala]] kulingana na mfumo wa [[mgawanyo wa madaraka]]. Mihimili mingine ni [[mahakama]] na [[serikali]].
 
Bunge ni chombo kinachotokana na [[mfumo wa utawala wa Westminster]]. Mfumo huu ambao umerithiwa na nchi nyingi duniani umetoka nchini [[Uingereza]]. Kutokana na mfumo huu kutoka nchini Uingereza, mara nyingi [[Bunge la Uingereza]] huitwa "Mama wa Bunge" duniani. Bunge la kwanza nchini Uingereza liliundwa wakati wa utawala wa [[Mfalme Henry III]] katika [[karne ya 13]]. Bunge hilo lina sehemu mbili, [[Bunge la Makabwela]] na [[Bunge la Mabwanyeye]].
 
Katika nchi nyingi zinazofuata mfumo wa Westminster, [[Waziri Mkuu]] huwa ndio kiongozi mkuu wa [[serikali]] bungeni.
Mstari 7:
Shughuli za bunge husimamiwa na mbunge aliyechaguliwa kuwa mwenyekiti wake akiwa na vyeo kama mwenyekiti, rais aus [[spika]] wa bunge.
 
== Mabunge ya Afrika ==
* Orodha ya [[Wabunge wa Tanzania]]
 
== Viungo vya nje ==
* {{en}} [http://www.parliament.go.tz/bunge/ Bunge la Tanzania]
* {{en}} [http://www.parliament.gov.za/ Bunge la Afrika Kusini]
Mstari 22:
{{tanzania-siasa-mbegu}}
 
[[CategoryJamii:Siasa]]
 
[[Category:Siasa]]
 
{{Link FA|ms}}
Line 62 ⟶ 61:
[[kn:ಸಂಸತ್ತು]]
[[ko:의회]]
[[krc:Парламент]]
[[ku:Parleman]]
[[la:Parlamentum]]