Mtini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ar, az, bg, bs, ca, cs, de, el, es, fi, fr, fur, gl, gu, hak, he, hi, hr, hu, id, io, it, ja, ka, ko, ln, lt, nl, nn, oc, pl, pt, qu, ro, ru, sc, simple, sl, sq, sv, tg, th, tl, to, tr, uk, ur, yi, zh Badiliko: en
d roboti Nyongeza: gv:Fig; cosmetic changes
Mstari 1:
'''Tini'''
 
== Utangulizi ==
Mtini (Ficus Cariza) ni mti mkubwa, kama kichaka au mdogo wenye asili ya kusini magaribi mwa Asia na pande za mashariki mwa Mediterania ( kutoka Afganistani mpaka Usiriki). Huwa na kilimo cha mita 6.9 mpaka 10,na shina laini la kijivu. Majani yana urefu wa sm 12-15 kwa urefu na sm 10 -18 kwa upana, yakiwa yamegawanyika katika vipande vitatu au vitano. Matunda yake, tini huwa na urefu was m 3-5 na ngozi ya kijani, wakati mwingine huwa na kuwa ya zambarau au kahawia. Majimaji ya tini huwasha ngozi ya binadamu.
Kilimo matumizi, Tini hulimwa kwaajili ya matunda yake yanayoliwa kwanzia sehem za asili za Memterania, Iran na kaskazin mwa india.Pia hupatikana maeneo haya hasa huko Marekani, meksiko, chile, Australia na Afrika ya kusini. Tini hupatikana pia kwenye maeneo ya joto, kama Hansari, na huchumwa mara mbili au tatu kwa mwaka tunda hili limekuwa chakula kwa watu wengi kwa miaka zaidi ya Elfu na liliaminika kuwa vinavirutubisho.Tini inayoliwa ni miongoni mwa mimea yamanzo kabisa na binadamu kwaajili yakula kwa mabaki tisa ya tini yanayoonyesha yalikuwepo 9400-9200 KK. Pengine hata mawazo ya kilimo ndio yalikuwa ndo yanaanza wakati huo na husemwa kwamba mimea mingi kama vile ngano, shairi nk.
Mstari 7:
 
 
== Uzalishaji ==
Kulingana na taarifa za FAO, uzsalishaji wa tini kwa mwaka 2005 ulikuwa tani 1,057,000. Utumizi ikifatiwa na misri tani 170,000 na nchi nyingine za mediterania.
 
 
== Tini na Afya ==
Tini ni moja ya mimea yenye kiasi kikubwa cha kalsiam na makapi. Tini iliyokaushwa kuwa na kiasi kikubwa cha makapi, shaba, mangamizi, magniziamu, potasiamu kalsiamu na vitamin k, kulingana na mahitaji ya binadamu. Huwa na kiwango kidogo cha virutubisho vingine. Katika tafiti moja, gram 40 tu za tini iliyokaushwa kuongeza uwezo kwa kiasi kikubwa cha plazma antioksidanti mwilini.
 
[[ar:تين]]
Mstari 29:
[[gl:Figueira]]
[[gu:અંજીર]]
[[gv:Fig]]
[[hak:Vù-fâ-kó]]
[[he:תאנה]]