Domitian : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: an:Domicián
No edit summary
Mstari 2:
 
'''Titus Flavius Domitianus''' ([[24 Oktoba]], [[51]] – [[18 Septemba]], [[96]]) alikuwa [[Kaizari]] wa [[Dola la Roma]] kuanzia [[14 Septemba]], [[81]] hadi kifo chake. Alimfuata kaka yake [[Kaizari Titus|Titus]].
 
Domitiano aliimarisha utaratibu wa Dola. Alijitahidi kutafuta maafisa wenye uwezo nje ya familia ya wakubwa wa Senai hivyo alikuta upinzani aliyokandamiza vikali.
 
Alijitahidi kuimarisha pia [[dini ya Kiroma]] na wakati wa mwisho wa utawala wake ulikuwa na mateso ya Wayahudi na Wakristo waliokataa kuabudu miungu ya Roma. Vitabu vya [[Ufunuo ya Yohane]] pamoja na [[waraka wa kwanza wa Klementi]] viliandikwa wakati ule.
 
{{mbegu-Kaizari-Roma}}