Waraka wa kwanza wa Klementi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with ''''Waraka wa kwanza wa Klementi''' ni andiko lililoandikwa na askofu Klementi wa Roma mnamo mwaka 100 BK kwa kanisa la Kikristo mjini Korintho. Ni...'
 
d roboti Nyongeza: de:Erster Clemensbrief; cosmetic changes
Mstari 1:
'''Waraka wa kwanza wa Klementi''' ni andiko lililoandikwa na askofu [[Papa Klementi I|Klementi wa Roma]] mnamo mwaka [[100]] [[BK]] kwa kanisa la Kikristo mjini [[Korintho]]. Ni kati ya maandiko ya kwanza ya kikristo nje ya Biblia ([[Agano Jipya]]) yaliyohifadhiwa na kujulikana leo.
 
== Waraka wa kwanza wa Klementi kati ya maandiko ya kale ya kikristo ==
Jina rasmi la andiko hili ni "Klementi kwa Wakorintho" ([[Kigiriki]] Κλήμεντος πρὸς Κορινθίους, ''Klēmentos pros Korinthious'') iliandkwa kwa lugha ya Kigiriki. Pamoja na maandiko mengine kama vile [[Didake]], [[Waraka wa Barnaba]] na nyaraka saba za [[Ignatio wa Antiokia]] iko katika ya maandiko ya kale kabisa ya Ukristo wa kwanza yaliyohifadhiwa nje ya Agano Jipya. Wataalamu wengi wengi wanahisi ya kwamba iliandikwa mnamo mwaka 100 BK kwa hiyo miaka michache baada ya vitabu vya mwisho vya Agano Jipya au hata wakti uleule.
 
== Umri wa waraka ==
Ndani ya waraka kuna vidokezo kadhaa kuhusu wakati wa kuandikwa kwake hata kama hakuna tarehe kamili - lakini hii ilikuwa kawaida kwa maandiko engi ya yakati zile.
 
Waraka inataja "misiba ambayo imetufikia ghafla na mara kwa mara" na hii inachukuliwa na wataalamu kama maejeo kwa mateso ya Wakristo chini ya [[Kaisari Domitiano]] wa Roma mnamo 96-98 BK. Pia kanisa la Roma laitwa "la kale" na barua inasema ya kwamba wazee waliosimikwa na mitume waliaga dunia tayari.
 
== Sababu ya waraka ==
Sababu ya kuandika waraka ilikuwa fitina ndani ya kanisa la Korintho iliyosababisha kuondolewa madarakani kwa viongozi kadhaa. Klementi alipinga fitina hii akitetea iongozi wa awali. Aliwakumbusha Wakorintho kuhusu barua waliowahi kupokea kutoka kwa [[Mtume Paulo]].
 
Mstari 18:
 
== Weblinks ==
* [http://www.earlychristianwritings.com/1clement.html Early Christian writings:] ''The First Epistle of Clement''
* [http://www.earlychristianwritings.com/2clement.html Early Christian writings:] ''The Second Epistle of Clement''
* [http://www.earlychristianwritings.com/text/2clement-hoole.html English Translation] of 2 Clement
* [http://www.newadvent.org/cathen/04012c.htm Catholic Encyclopedia] article on Clement of Rome
* [http://www.mortalresurrection.com/2008/12/25/63/#more-63 The Use of Material Deriving from the Synoptic Gospels in the Letter of Clement to the Corinthians]
 
[[CategoryJamii:Ukristo]]
 
[[de:Erster Clemensbrief]]
[[en:Epistles of Clement]]
[[es:Primera epístola de Clemente]]