Tofauti kati ya marekesbisho "Ncha ya kaskazini"

17 bytes added ,  miaka 10 iliyopita
d
roboti Nyongeza: oc:Pòl Nòrd; cosmetic changes
d (roboti Nyongeza: krc:Шимал полюс)
d (roboti Nyongeza: oc:Pòl Nòrd; cosmetic changes)
[[imagePicha:Ncha_ya_Kaskazini.JPG|thumb|350px|Ncha ya Kusini na Ncha Sumaku]]
'''Ncha ya kaskazini''' ni mahali pa kaskazini kabisa duniani. Neno hili hutaja ama
* ncha ya kijiografia ya kaskazini au
Duniani iko kinyume cha [[ncha ya kusini]].
 
== Ncha ya kaskazini ya Kijiografia ==
Ncha ya kaskazini ya kijiografia iko katikati ya [[Bahari ya Aktiki]]. Ni mahali ambako mhimili wa kuzunguka kwa dunia unagusa uso wa dunia. Mahali hapa papo kwa [[anwani ya kijiografia]] ya 90°S na 0°W. Mtu anayesimama hapa anatazama upande wa kusini kwa namna yoyote hata akijizungusha.
 
Nchani [[bahari]] ina kina cha mita 4,087 m. Uso wa bahari umefunikwa hapa na ganda la [[barafu]] lenya unene wa mita 3-4. Msingi wa bahari nchani ulifikiwa mara ya kwanza mwaka 2007 na msafara wa kisayansi wa [[Urusi]] kwa kutumia [[nyambizi]].
Mazingira ya ncha ni baridi sana. Eneo lake lenyewe hakuna wakazi wa kudumu watu wa karibu ni [[Waeskimo]] wa [[Greenland]] na wakazi wa [[Siberia]] ya kaskazini ([[Urusi]]) pamoja na wanasayansi kwenye vituo vya utafiti.
Kufuatana na [[kupanda kwa halijoto duniani]] barafu nchani imeanza kuyeyuka. Wataalamu wengine huamini ya kwamba kuna uwezekano itapotea kabisa katika [[karne]] ijayo.
== Ncha sumaku ya kaskazini ==
Ncha ya kuzunkuka dunia si sawa na ncha sumaku yaani mahali panapoonyeshwa na sumaku za [[dira]] dunia. Hapa ni kitovu cha kaskazini cha [[ugasumaku]] wa dunia.
 
Ncha sumaku hutembeatembea kama mwenzake huko kusini. Kwa sasa iko kati ya visiwa vya Kanada na ncha ya kijiografia. lakini iko mahali tofauti kila mwaka.
 
== Nyota ya nchani ==
Kuna nyota moja iliyopo moja kwa moja juu ya ncha kwa kurefusha mhimili wa dunia. Nchani huonekana juu kabisa na katikati ya anga. Katika nusu ya kaskazini ya dunia nyota hii ineonekana kote ikionyesha upande wa kaskazini wakati wa usiku. Zamani mabaharia waliweza kutumia nyota hii wakitaka kulenga baharini wakati wa usiku. Kwa lugha ya [[falaki]] ni α Ursae Minoris kwa sababu ni nyota ya kwanza katika [[kundinyota]] ya [[Ursus Minor]] (dubu mdogo). Huitwa pia Stella Polaris ([[Kilatini]] kwa nyota ya nchani).
 
== Tazama pia ==
* [[Ncha ya kusini]]
 
[[CategoryJamii:Jiografia]]
[[categoryJamii:Aktika]]
 
{{Link FA|fr}}
[[Category:Jiografia]]
[[category:Aktika]]
 
[[an:Polo Norte]]
[[nn:Nordpolen]]
[[no:Nordpolen]]
[[oc:Pòl Nòrd]]
[[pl:Biegun północny]]
[[pt:Polo Norte]]
44,008

edits