Senati : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with ''''Senati''' ilikuwa baraza kuu katika Dola la Roma. Jina lake limetokana na neno la kilatini ''senes'' (=mzee) kwa hiyo senati ilikuwa baraza la wazee. Wakati wa Jamhur...'
 
d roboti Nyongeza: nl:Senaat (Rome); cosmetic changes
Mstari 12:
Senati ya Roma ilikuwa mfano kwa nchi nyingi; katika lugha za Ulaya taasisi mbalimbali huitwa kwa jina hili.
 
== Senati katika nchi mbalimbali ==
Nchi mbalimbali huwa na senati kama sehemu ya bunge kama ni bunge ya vitengo viwili (nyumba mbili, vyumba viwili); hapo "senati" kwa jumla ni jina la "nyumba ya juu".
 
Katika [[Marekani]] "[[Senati (Marekani)|Senati]]" ni kitengo kimoja cha [[bunge]] ikiwa na mamalaka nyingi kuhusu siasa ya nje na kuthebitishwa kwa maafisa wakuu wa serikali. Rai anahitaji kibali cha senati kwa sehemu muhimu za siasa zake. Senati ya Marekani inaweza kusimamisha sheria zilizoamuliwa na [[Nyumba ya Wawakilishi]] (sehemu nyingine ya bunge). Senati ina wajumbe wawili kutoka kila dola la Mareakni wanaochaguliwa kwa muda wa miaka 6.
 
Sawa na Marekani kuna "Senati" kama kitengo cha bunge katika [[Ufaransa]], [[Kanada]], [[Italia]] (Senato della Repubblica), [[Rumania]], [[Ucheki]], [[Hispania]] (Senado), [[Australia]], [[Poland]], [[Ubelgiji]] na [[Brasilia]].
 
Nchi nyingine zenye bunge la vitengo viwili hazitumii neno "senati" kwa mfano [[Ujerumani]].
Mstari 26:
Katika nchi mbalimbali "Senati" ni jina la baraza kuu kwenye [[chuo kikuu]].
 
[[CategoryJamii:Dola la Roma]]
 
[[Category:Dola la Roma]]
 
{{Link FA|ka}}
Line 60 ⟶ 59:
[[mk:Римски сенат]]
[[ms:Senat Rom]]
[[nl:Senaat (Rome)]]
[[no:Det romerske senatet]]
[[pl:Senat rzymski]]