Kelvini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ur:Kelvin; cosmetic changes
Mstari 1:
'''Kelvini''' ni kipimo cha [[SI]] kwa [[halijoto]]. Alama yake ni K.
 
Kiwango chake kinaanza kwenye [[sifuri halisi]] (= -273.15 [[°C]]) pasipo na mwendo wowote wa [[molekuli]]. Kizio kimoja cha Kelvini ni sehemu ya 1/273.16 ya tofauti kati ya sifuri halisi (=0 K) na [[kiwango utatu]] cha maji (+0.01  °C).
 
Skeli ya Kelvini ililinganishwa na skeli ya selsiasi yaani kizio kimoja cha Kelvini ni sawa na kizio kimoja cha [[Selsiasi]].
Skeli ya Kelvini haihitaji namba za minusi (-) kwa sababu hakuna hali chini ya 0 K.
 
Mstari 11:
{{mbegu-sayansi}}
 
[[CategoryJamii:Vipimo]]
[[CategoryJamii:Vipimo sanifu vya kimataifa]]
 
[[af:Kelvin]]
Mstari 85:
[[tr:Kelvin (birim)]]
[[uk:Кельвін (одиниця)]]
[[ur:Kelvin]]
[[uz:Kelvin]]
[[vec:Kelvin]]