The Lion King : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya Lilo and suck (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Xqbot
Replaced content with 'not here'
Mstari 1:
not here
{{Filamu 2
| jina =The Lion King
| picha=Teaser1.jpg
| maelezo_ya_picha=Posta ya filamu hii iliyochorwa na John Alvin<ref> {{cite news |first=Jocelyn|last=Stewart|title=Artist created many famous film posters|url=http://www.latimes.com/news/printedition/california/la-me-alvin10feb10,1,5113268.story |publisher=''[[Los Angeles Times]]''|date=2008-02-10
| accessdate=2008-02-10}}</ref>
|mwongozaji=Roger Allers
Rob Minkoff
| mtayarishaji = Don Hahn
| mtunzi = Irene Mecchi
Jonathan Roberts
Linda Woolverton
| nyota = Matthew Broderick
Jeremy Irons
James Earl Jones
Jonathan Taylor Thomas
Nathan Lane
Ernie Sabella
Moira Kelly
Robert Guillaume
Rowan Atkinson
Whoopi Goldberg
Cheech Marin
Jim Cummings
| mhariri = Ivan Bilancio
| msambazaji=[[Walt Disney Pictures]]
| imetolewa=[[15 Juni]], [[1994]] (miji iliyochaguliwa)
[[24 Juni]], 1994 (kwa ujumla)
[[18 Novemba]], 1994 (kutolewa upya)
[[25 Desemba]], 2002 (IMAX kutolewa upya kwa toleo maalum)
| muda= 90
| lugha=[[Kiingereza]]
| bajeti=[[Dola ya Marekani|$]]45,000,000
|mapato=$783,841,776
| muziki = '''Songs:'''
[[Elton John]]
[[Tim Rice]]
[[Lebo M]]
'''Score:'''
[[Hans Zimmer]]
| ikafuatiwa_na = ''[[The Lion King II: Simba's Pride]]''

'''''The Lion King''''' ([[Kiswahili]]: ''Mfalme Simba'') ni filamu ya [[katuni]] iliyotolewa mwaka wa [[1994]]. Filamu ilitayarishwa na [[Walt Disney Feature Animation]], na kutolewa kwenye makumbi mnamo tar. [[15 Juni]], [[1994]] na [[Walt Disney Pictures]]. Hii ni ya 32 kutolewa kwa mujibu wa orodha ya filamu za katuni za [[Walt Disney]]. Hadithi hii, ilifananishwa kabisa na ile hadithi ya mchezo wa [[William Shakespeare]] wa ''[[Hamlet]]''. Hadithi hii imechezwa kama ikiwa inaeleza ufalme wa wanyama wa Afrika.<ref name="PlatinumEditionDVDOrigins">{{cite video | title = The Lion King: Platinum Edition (Disc 2), Origins | medium = DVD | publisher = [[Walt Disney Home Entertainment]] | date2=1994-06-15}}</ref> Filamu imepata kuwa moja kati ya filamu zenye mapato makubwa ya karne hadi hapo ilipokuja kutolewa filamu nyingine ya katuni ya ''Finding Nemo'' ([[Disney/Pixar]]). ''The Lion King'' bado inashikiria taji lake la kuwa filamu yenye mapato makubwa katika historia ya makundi ya filamu za kiasili (wanyama)<ref name=Boxofficemojo>{{cite news |url= http://www.boxofficemojo.com/genres/chart/?id=animation.htm |title = Highest grossing animated films| publisher = [[Box Office Mojo]] |accessdate=2008-07-29 }}</ref> na inamilikiwa katika kipindi kijulikanacho cha [[:en:Disney Renaissance|Mwamko wa Disney]].<ref>{{cite web |url= http://www.decentfilms.com/sections/articles/quovadisdisney.html |title = Disney: Notes on the end of the Disney Renaissance| publisher = decentfilms.com |accessdate=2008-08-26 }}</ref>

== Hadithi ==
[[Picha:Simba.jpg|thumb|left|250px|Simba wa Pride Rock]]
Simba ni mtoto wa kiume wa Mufasa, na Mufasa ndiyo simba mfalme anayemiliki sasa ufalme uitwao Pride Rock. Lakini, ndugu mdogo wa Mufasa (Scar) anamwonea choyo Simba na Mufasa wanataka kumweka Mufasa kuwa kama mfalme wa ufalme hiyo. Scar hawezi kuwa mfalme isipokuwa akifa Mufasa na Simba. Scar akawa rafiki na fisi watatu na kuwaahidi kwamba atawapatia chakula endapo watamsaidia kumwua ndugu yake Mufasa na Simba na kuchukua mamlaka ya ufalme huo.

Scar na wale mafisi wakamtega Simba kule pembezoni mwa mto, mahali ambapo Scar akatuma midudu mikubwa ya mwituni iende kumwua. Mufasa akashitukia mpango huo kwamba mtoto wake yupo hatarini hivyo akaenda mbio kumwokoa. Akaruka chini kule kwenye eneo la fujo na kumvuta Simba nje kabla hajauawa na kumtupia juu ya jiwe ambapo atakuwa yupo salama. Hata hivyo, pale Mufasa alipokuwa akijaribu kupalamia jabali ili awe salama, Scar akaja kwa juu yake na kumsukumia chini ya lile jebali.

Hivyo Mufasa akaangukia ndani ya lile eneo la fujo na kufa. Scar bado akawa anajifanya anataka kupatana na Simba kabla Scar hajawa mfalme, na kujifanya kumweleza Simba kwamba kule kufa kwa Mufasa ni kosa lake. Hivyo ataondoka na asirudi tena. Halafu baadaye akaenda kuwaambia wale jamaa zake wa awali (fisi) waende kumwua Simba.

Wakawa wanamtoa mbio Simba hadi kule chini ya [[Mpungate|mipungate]], lakini bado Simba alitoweka. Mmoja kati ya wale fisi akajibwenga katika ile mipungate na kupiga kelele kuubwa. Simba bado akawa anamkimbia yule fisi mmoja (aitwaye Banzi) akawa anawaambia wenziwe waendelee kumkimbiza Simba, lakini Sheinzi, fisi wa pili (wa tatu wake ni [[bwege]] anaitwa Ed) akasema "Hakuna jinsi mimi ninakwenda kule! Unasemaje, unataka na mimi nije kuwa kama ''wewe'', Popo-Mpungate?!" Kwa hiyo wakamwachia Simba aende zake, huku wakiwa wanapiga zogo wakiwa kwa juu.

Muda huohuo, Scar akaanza kumwambia kila mtu kuhusu ile vulumai, na akasema kwamba Simba tu ndiye aliyekufa, bila kujua ukweli kwamba wakina fisi hawajaweza kumwua Simba. Halafu akachukua ufalme na kuwa mfalme wa hapa, tangu hapo akawa mtu karibu sana katika familia. Simba alikua huku akiwa na marafiki zake wapya wawili, Timon na Pumbaa. Amejifunza kuishi na [[wito]] mpya, "Hakuna Matata", ambayo kwa kuilezea zaidi inamaana ya "Hamna Shida".

Simba alikua huku akiwa shupavu kwelikweli pale alipojiunga na rafiki yake wa udogoni Nala, ambaye alikuwa akijua kwamba baba yake Mufasa yu hai. Alimweleza kuhusu mambo ya kishenzi anayoyafanya Scar na kumwomba Simba arudi ili apambane na Scar. Simba akarudi zake nyumbani na kuanza kupambana na Scar kwa ajili ya ufalme, na ikatokea Scar akaeleza ukweli kwamba yeye ndiye aliyemwua Mufasa. Kulikuwa mapigano ya muda mrefu, lakini Simba akamshinda Scar, akadai kwamba yeye ana haki ya kuwa mfalme. Nala akawa malkia wa Simba na wakazaa kitoto chao wenyewe.

== Washiriki ==
* Simba - [[Matthew Broderick]] (adult), [[Jonathan Taylor Thomas]] (young)
* Scar - [[Jeremy Irons]]
* Mufasa - [[James Earl Jones]]
* Timon - [[Nathan Lane]]
* Pumbaa - [[Ernie Sabella]]
* Shenzi - [[Whoopi Goldberg]]
* Banzai - [[Cheech Marin]]
* Ed - [[Jim Cummings]]
* Nala - [[Moira Kelly]] (adult), [[Niketa Calame]] (young)
* Rafiki - [[Robert Guillaume]]
* Zazu - [[Rowan Atkinson]]
* Sarabi - [[Madge Sinclair]]
* Sarafina - [[Zoe Leader]]

== Marejeo ==
{{marejeo}}

== Viuongo vya nje ==
{{Wikiquote}}
* [http://web.archive.org/web/20060226230020/disney.go.com/disneyvideos/animatedfilms/lionking/index.html The Lion King]
* {{amg movie|1:131171}}
* {{imdb title|0110357}}
* [http://imsdb.com/scripts/Lion-King,-The.pdf ''The Lion King'' working script] katika [[Internet Movie Script Database]].

{{Mbegu}}

[[Jamii:Filamu za 1994]]
[[Jamii:Filamu za katuni za Disney]]
[[Jamii:Filamu za Marekani]]

[[af:The Lion King]]
[[ar:الأسد الملك]]
[[bg:Цар лъв]]
[[ca:El Rei Lleó]]
[[cs:Lví král]]
[[cy:The Lion King]]
[[da:Løvernes Konge]]
[[de:Der König der Löwen]]
[[dv:ދަ ލަޔަން ކިންގ]]
[[en:The Lion King]]
[[eo:The Lion King]]
[[es:El rey león]]
[[et:Lõvikuningas]]
[[eu:Lehoi Erregea]]
[[fa:شیرشاه]]
[[fi:Leijonakuningas]]
[[fr:Le Roi lion]]
[[ga:The Lion King]]
[[gl:The Lion King]]
[[he:מלך האריות]]
[[hi:दे लायन किंग]]
[[hr:Kralj lavova]]
[[hu:Az Oroszlánkirály]]
[[id:The Lion King]]
[[is:Konungur ljónanna]]
[[it:Il re leone]]
[[ja:ライオン・キング]]
[[ka:მეფე-ლომი]]
[[ko:라이온 킹]]
[[la:The Lion King]]
[[lt:Liūtas karalius]]
[[mg:The Lion King]]
[[ms:The Lion King]]
[[nl:De Leeuwenkoning]]
[[no:Løvenes konge]]
[[pl:Król Lew]]
[[pt:O Rei Leão]]
[[qu:Qhapaq Liyun]]
[[ro:Regele Leu]]
[[ru:Король-лев]]
[[sh:The Lion King]]
[[simple:The Lion King]]
[[sq:The Lion King]]
[[sr:Краљ лавова]]
[[sv:Lejonkungen]]
[[te:ది లయన్ కింగ్]]
[[th:เดอะ ไลออนคิง]]
[[tr:Aslan Kral]]
[[uk:Король-лев]]
[[uz:The Lion King]]
[[vi:Vua sư tử]]
[[zh:狮子王]]
[[zh-min-nan:The Lion King]]
[[zh-yue:獅子王]]