Tofauti kati ya marekesbisho "M/s"

6 bytes removed ,  miaka 10 iliyopita
d
roboti Nyongeza: ur:میٹر فی سیکنڈ; cosmetic changes
d (roboti Nyongeza: eo:Metro en sekundo)
d (roboti Nyongeza: ur:میٹر فی سیکنڈ; cosmetic changes)
'''M/s''' ni kifupi cha '''mita kwa sekunde'''. '''m''' peke yake ni kifupi cha [[mita]] na '''s''' ni kifupi cha [[sekunde]].
 
Kitu chenye kasi ya 1 m/s kinatembea mita moja katika muda wa sekunde moja. Kipimo hiki ni sehemu ya [[vipimo sanifu vya kimataifa]] (SI) kwa kasi. Katika maisha ya kila siku hakitumiki sana kwa sababu watu hawataki kujua mwendo wao kwa kila sekunde. Badala yake kipimo cha [[kilomita kwa saa]] kimekuwa kawaida zaidi. Lakini msingi wake ni m/s.
 
Kasi ya 1 m/s ni sawa na 3.6 [[km/h]]. Mwendo wa mtu anayetembea kwa miguu kwa kasi ya wastani huwa ni mnamo 5 km/h.
 
== Hesabu ==
Mita 1 kwa sekunde hulingana na:
: ≈ 3≈ 3.2808 2808  [[futi]] kwa sekunde
: ≈ 2≈ 2.2369 2369  [[maili]] kwa saa
: = 3 3.6 6  [[km/h]]
 
[[CategoryJamii:Fizikia]]
[[CategoryJamii:Vipimo vya kasi]]
[[CategoryJamii:Vipimo sanifu vya kimataifa]]
 
[[af:Meter per sekonde]]
[[th:เมตรต่อวินาที]]
[[tr:Metre bölü saniye]]
[[ur:میٹر فی سیکنڈ]]
[[zh:米每秒]]
44,011

edits