Kisonono : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: be:Ганарэя
d roboti Nyongeza: el:Βλεννόρροια; cosmetic changes
Mstari 7:
Kisonono huonekana kwa urahisi kwa wanaume ambao hutoa [[usaha]] kutoka katika mfereji wa mkojo (''urethra''). Huanza kidogo, lakini huongezeka na huwa mwingi na kusababisha kusikia haja ya kukojoa mara kwa mara huku kukiwa na maumivu.
 
Kisonono ikisambaa na kufikia ''[[prostate]]'', mfereji wa mkojo huziba kwa kiasi fulani. Kwa wanawake maambuki hutokea katika [[urethra]], [[uke]] au [[mlango wa uzazi]] (''cervix''). Ingawa mwasho unaotokana na majimaji katika uke unaweza kuwa mkubwa, mara nyingi dalili hizi huwa ni chache au hamna kabisa katika hatua za awali.
 
Kisonono isiyotibiwa inaweza kusababisha PID kwa wanawake. Watoto wanaozaliwa na mama wenye kisonono huwa na hatari ya kuambukizwa wakati wa kuzaliwa; maambukizo haya yanaweza kusababisha magonjwa ya [[meno]] kwa wachanga.
Mstari 17:
Kisonono hutibiwa kwa [[antibaotiki]] kadhaa, ingawa maambukizi yamekuwa na ukinzani juu ya tiba ya baadhi ya madawa katika miongo ya nyuma. Moja kati ya mambo magumu katika kupambana na [[kisonono]] ni kutafuta mahusiano yote ya kimapenzi ya nyuma ya aliyeambukizwa ili kuweza kuzuia usambaaji zaidi wa ugonjwa.
 
[[CategoryJamii:Maradhi ya zinaa|Kisonono]]
 
[[ar:سيلان (مرض)]]
Mstari 27:
[[de:Gonorrhoe]]
[[dv:ކިހުނުވުން]]
[[el:Βλεννόρροια]]
[[en:Gonorrhea]]
[[eo:Gonoreo]]